Tunu ya Mashairi
- Format
- Bog, hæftet
- Engelsk
- 106 sider
Normalpris
Medlemspris
- Du sparer kr. 15,00
- Fri fragt
-
Leveringstid: 7-9 Hverdage (Sendes fra fjernlager) Forventet levering: 12-03-2026
- Kan pakkes ind og sendes som gave
Beskrivelse
Tunu ya Mashairi ni kitabu cha kifasihi am-bacho kina mkusanyiko wa mashairi ambayo yanazungumzia maswala yanayokumba jamii ya sasa. Uzuri wa mkusanyiko wa mashairi haya unafunua maudhui na faida zinazoto-kana na maudhui zinazozungumziwa.
Katika diwani hili, maudhui yaliyoangaziwa ni: Ufisadi, uozo, ugomvi, imani,usaliti, uandishi, marafiki, zawadi,dini, uongozi bora, utengano, shibe, tamaa, uongo, ubad-hirifu, unafiki, uchochole, wizi, utamaduni, upole, kiburi, fanaka, bidi, ukiritimba, urithi, chuki, siri, mihadarati, tuhuma, dhuluma, upelelezi, kejeli, uzinzi, uchawi, elimu, matu-si, shukrani n.k.
Mbinu za malenga zinatumika katika mashairi hayo. Kila la heri unapojipanga kuyasoma, kukariri na kuyaimba mashairi hayo.
Detaljer
- SprogEngelsk
- Sidetal106
- Udgivelsesdato13-02-2023
- ISBN139798374686999
- Forlag Independently Published
- MålgruppeFrom age 0
- FormatHæftet
Størrelse og vægt
10 cm
Anmeldelser
Vær den første!